Over 10 years we help companies reach their financial and branding goals. Maxbizz is a values-driven consulting agency dedicated.

Gallery

Contact

+1-800-456-478-23

411 University St, Seattle

maxbizz@mail.com

Mshindi wa Maji Cup League (MCL) 2025

Katika fainali kali ya Maji Cup League (MCL) 2025 iliyofanyika jijini Tanga kwenye uwanja wa Mkwakwani, timu ya ZURA kutoka Zanzibar imeibuka bingwa wa mashindano hayo kwa ushindi wa bao 1–0 dhidi ya RUWASA Mwanza.

Mashindano ya mwaka huu yamebeba kaulimbiu:
“Tunaangazia Mafanikio ya Sekta ya Maji chini ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita”
Kaulimbiu hiyo ilisisitizwa na Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso, ambaye alikuwa mgeni rasmi akishirikiana na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mhe. Balozi Batilda Buriani.

Katika mpira wa pete, kikosi cha Mamlaka ya Maji Mbeya kilijinyakulia ubingwa na kombe la netiboli, kikionyesha uwezo mkubwa wa michezo kutoka sekta ya maji.

MAJI CUP 2025 imeendelea kuwa jukwaa la kuhamasisha mshikamano, huduma bora za maji, na udhibiti wa upotevu wa rasilimali hiyo muhimu.